Grafiki: Nyadhifa 10 alizowahi kushikilia Polycarp Igathe

Bahati ya mtende!

Muhtasari

• Igathe anasemekana kuwa na bahati ya kazi mbalimbali kumtafuta bila hata ya kutuma maombi.

Infographic ya nyadhifa ambazo Polycarp Igathe amewahi kushikilia
Infographic ya nyadhifa ambazo Polycarp Igathe amewahi kushikilia
Image: Radio Jambo

Polycarp Igathe ambaye kwa sasa anawania ugavana Nairobi kwa tikiti ya chama cha Jubilee ni miongoni mwa Wakenya wachache wenye bahati ya kubadilisha kutoka kazi moja hadi nyingine  kwa urahisi mno.

Jamaa huyo anatajwa kuwa na bahati kwani nyadhifa nyingi ambazo ameaminiwa kuzishikilia ni za hadhi ya  katika mashirika mbali mbali tajika kuendesha shughuli zao muhimu.