Wafahamu wanaspoti mahiri wa Kenya wanaofuzu kuwa polisi wiki hii

Wanariadha Ferdinand Omanyala na Beatrice Chebet walifuzu kuwa polisi Jumanne.

Muhtasari

•Baadhi ya wanaspoti walifuzu siku ya Jumanne katika hafla iliyoongozwa na rais William Ruto katika chuo cha mafunzo ya polisi cha Kiganjo.

Wanaspoti mahiri wanaofuzu kuwa polisi wiki hii
Image: WILLIAM WANYOIKE