Watu mashuhuri waliofuga wanyama pori nyumbani

Wiki iliyopita, Diamond alifichua kwamba amejipatia nyoka wa kuweka nyumbani.

Muhtasari

•Wiki iliyopita ,staa wa Bongo Diamond Platnumz alijipatia nyoka wa kuishi naye nyumbani.

Watu mashuhuri waliofuga wanyama pori nyumbani
Image: ROSA