Mafanikio ya Prof George Magoha katika Sekta ya Elimu

Waziri wa zamani wa Elimu, George Magoha alifariki mnamo Januari 24, 2023.

Muhtasari

•Waziri wa zamani wa Elimu, George Magoha alifariki mnamo Januari 24, 2023, takriban miezi mitatu tu baada ya kuondoka afisini.

Magoha bila shaka ni miongoni mwa viongozi walioleta mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu nchini Kenya.

Mafanikio ya George Magoha katika sekta ya elimu
Image: HILLARY BETT

Magoha bila shaka ni miongoni mwa viongozi walioleta mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu nchini Kenya.

Haya ni baadhi ya mafanikio ya marehemu George Magoha katika sekta ya elimu:-

  • Utekelezwaji wa CBC.
  • Alidhibiti udanganyifu wa mitihani.
  • Alitekeleza sera ya 100% wanafunzi kujiunga na sekondari.
  • Alifanikisha sera ya kila mtoto kujiunga na shule.
  • Kutangazwa kwa matokeo ya mitihani kwa haraka.
  • Alihakikisha walimu wanazingatia miongozo ya karo.
  • Alidhibiti migomo ya walimu.