Fahamu wasanii marehemu waliowahi kufanya collabo na Diamond Platnumz

Msanii Papa Wemba alifariki mwaka 2016 miezi michache baada ya kufanya collabo na Diamond, wimbo ambao hawakufanikiwa kutoa video yao.

Muhtasari

• Mwaka 2023, wasanii Costa Titch na AKA kutoka Afrika Kusini walifariki, wote waliwahi fanya collabo na Diamond.

Wasanii marehemu waliowahi kufanya collabo na Diamond.
Wasanii marehemu waliowahi kufanya collabo na Diamond.
Image: Hillary Bett