Fahamu majukumu ya CAS wapya ambao waliapishwa

Tazama baadhi ya majukumu ya Makatibu Waandamizi ambao wameingia ofisini hivi leo.

Muhtasari

•Rais William Ruto alishuhudia kuapishwa kwa Makatibu Waandamizi  (CAS) katika hafla iliyofanyika Ikulu.

Fahamu majukumu ya CAS wapya walioapishwa
Image: ROSA MUMANYI

Siku ya Alhamisi, Rais William Ruto alishuhudia kuapishwa kwa Makatibu Waandamizi  (CAS) katika hafla iliyofanyika Ikulu.

CAS walioteuliwa walitangazwa kwenye gazeti la serikali siku ya Jumatano na Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei.

Baadhi ya  walioapishwa ni pamoja na Mtaalamu wa Masuala ya Kidijitali Dennis Itumbi, Aliyekuwa Seneta wa kuteuliwa Millicent Omanga, Aliyekuwa Mbunge wa Starehe Charles Njagua, Aliyekuwa Gavana wa Nairobi Evans Kidero, Catherine Waruguru (Aliyekuwa Mbunge Laikipia Mashariki), Onesmus Ngunjiri (Aliyekuwa Mbunge wa Bahati), Askofu Margaret Wanjiru, Isaac Mwaura (Aliyekuwa Seneta) na Rehema Jaldesa (Aliyekuwa Mwakilishi wa Kike wa Isiolo) miongoni mwa wengine.

Tume ya Utumishi kwa Umma iliagiza kwamba CASs waajiriwe chini ya Kundi la kazi la CSG 3, wakiwekwa kiwango sawa cha mishahara kama Makatibu Wakuu.

Tazama baadhi ya majukumu ya Makatibu Waandamizi ambao wameingia ofisini hivi leo:-