Makosa yaliyogharimu Arsenal ubingwa wa EPL msimu 2022/23

Arsenal iliponzwa na kikosi chenye wachezaji wengi wachanga ambao waliingiwa na wasiwasi wakati utulivu ulihitajika ili kustahimili shinikizo.

Muhtasari

• Arsenal walikuwa na kikosi kichanga na majerah kwa wachezaji muhimu kama beki Saliba yaliwaathiri pakubwa.

• Pia baadhi ya wachezaji walionesha kuingiwa na mchecheto.

Kwa nini Arsenal hawatashinda ligi msimu huu
Kwa nini Arsenal hawatashinda ligi msimu huu
Image: WILLIAM WANYOIKE