Matukio maalum yaliopamba WRC Safari Rally mjini Naivasha wikendi iliyopita

Mama mkongwe alionekana akifurahia jinsi magari ya Safari Rally yalivyokuwa yakitimua vumbi, video ambayo ilienezwa na kuwafurahisha wengi mitandaoni.

Muhtasari

• Mbunge Oscar Sudi aliamua kukwepa msongamano wa magari na kufika Naivasha kwa bodaboda.

Matukio muhimu yaliyoipa uhai Safari Rally
Matukio muhimu yaliyoipa uhai Safari Rally
Image: Hillary Bett