Kenya yaibuka namba moja kwa medali Afrika, Marekani ikiongoza duniani kwa medali

Kenya ilijizolea jumla ya medali 10, 3 zikiwa za dhahabu, 3 zingine za fedha na 4 zikiwa za shaba.