Kando na riadha, bingwa mara tano wa Berlin Marathon Eliud Kipchoge ni nani?

Eliud Kipchoge alizaliwa kama kitinda mimba katika familia ya watoto wanne na alikuwa anachuuza maziwa kabla ya kujitosa kwenye riadha mwaka 2003.

Muhtasari

• Mshindi huyo mara tano wa Berlin Marathon alijitosa katika mbio za Marathon mwaka 2012.

•Ni mzaliwa wa kaunti ya Nandi na ana umri wa miaka 38.

EliudKipchoge.
EliudKipchoge.
Image: Rosa mumanyi,