Tazama sifa za kipekee za Samidoh ambazo Karen Nyamu anazipenda

Katika mahojiano ya hivi majuzi, seneta Karen Nyamu alifunguka kuhusu mambo mbalimbali yanayomvutia kwa Samidoh.

Muhtasari

•Huku akizungumzia sifa anazopenda kwa Samidoh, Seneta Nyamu alimsifu na kufichua ana vibe ya kuvutia sana ambayo anaipenda.

•"Kwa kawaida huwa anasema baadhi ya mambo na najua maishani mwangu sitawahi kusikia mtu mwingine akiyasema," Nyamu alisema.

Samidoh na Karen Nyamu
Samidoh na Karen Nyamu