Wanahabari waliofariki mwaka 2023

Mapema Jumanne habari za kifo cha Sally Kwendo Benson, aliyekuwa mtangazaji wa West FM na KBC Radio Taifa ziliwashtua sana wengi.

Muhtasari

• Wengi wa wanahabari waliofariki ni wakongwe ambao walianza taaluma zao enzi ya KBC.

Wanahabari waliofariki 2023.
Wanahabari waliofariki 2023.