Miamba wa soka Afrika ambao tayari wamebanduliwa Afcon

Morocco imekuwa miamba ya hivi punde kubanduliwa huku dimba la Afcon likiingia awamu ya robo fainali

Muhtasari

• Baadhi ya miamba waliotemwa ni Ghana, Cameroon, Misri na Senegal.

Image: ROSA MOMANYI