Unachohitaji kujua kuhusu malipo ya bima ya Jamii (SHIF)

Kila mtu aliyetimia miaka 25 awe ameajiriwa au la lazima achangiee hazina hiyo huku kiasi cha chini mno kutoa kikiwa shilingi 300 kwa mwezi.

Muhtasari

• Familia bila mishahara zitahitajika kulipa 2.75% ya mapato ya kila mwaka.

• Mwajiri atahitajika kusalimisha malipo ya wafanyikazi wake kabla ya tarehe 9 kila mwezi.

Image: ROSA MOMANYI