Maelezo kumhusu msajili mkuu wa mahakama, Frida Boyani Mokaya

Tume ya huduma kwa Mahakama (JSC) imemteua Frida Mokaya Boyani kuwa Msajili Mkuu wa Idara ya Mahakama.

Muhtasari

• JSC ilimteua Frida Mokaya baada ya kuwahoji jumla ya wagombeaji saba ambao walikuwa wameorodheshwa.

Image: ROSA MUMANYI