Viongozi wa nchi za Afrika wenye umri wa chini ya miaka 50

Ibrahim Traoré wa Burkina Faso, 36 ambaye alichukuwa mamlaka kupitia mtutu wa bunduki ndiye rais mdogo zaidi barani kwa sasa.

Muhtasari

• Marais wengine wa umri wa chini ni pamoja na Mahamat Déby, Chad (miaka 39), Assimi Goïta, Mali (miaka 41), Mamady Doumbouya, Guinea (miaka 44) na Andry Rajoelina, Madagaska (miaka 49).

Image: HILLARY BET