Orodha ya wanasoka waliowahi kuzirai uwanjani mechi ikiendelea

Baadhi kama Cheick Tiote, Raphael Dwamena na Marc-Vivien Foe hawakubahatika kupata nafuu kwani baada ya kuzirai uwanjani, walitangazwa kufariki papo hapo.

Muhtasari

• Mechi ya AS Roma na Udinese ililazimika kusitishwa baada ya beki wa Roma Evan Ndicka kuzirai uwanjani kunako kipindi cha pili.

Wachezaji waliozirai uwanjani.
Wachezaji waliozirai uwanjani.