Wanasoka wenye mabao mengi zaidi kwenye taaluma zao, CR7 na Messi wakiendeleza ushindani

Messi alivunja rekodi ya Ronaldo kwa kuwa mchezaji aliyefikisha mabao 830 kwa mechi chache zaidi - mechi 1056.