Jifunze kuhusu vizazi mbalimbali: Wahenga, Millenials, Gen-Z... ni kina nani?

Kizazi cha Z kimekuwa kikivuma Kenya baada ya kuhusika zaidi kwenye maandamano ya Jumanne jijini Nairobi.

Muhtasari

•Kizazi Alpha ndicho kizazi cha hivi punde ziadi kinachojumuisha watoto waliozaliwa baada ya 2010, ilhali kizazi cha GI kinajumuisha wahenga waliozaliwa kati ya 1901-1927.

Maelezo ya vizazi tofauti na miaka ya kuzaliwa

Kizazi cha Z kinavuma Kenya baada ya kuhusika zaidi kwenye maandamano ya Jumanne

 Kizazi cha Wahenga (GI Generation) Waliozaliwa 1901-1927

 Kizazi Kimya Waliozaliwa 1928-1945

 Kizazi Baby Boom Waliozaliwa 1946-1964

 Kizazi X (Gen X) Waliozaliwa 1965-1980

 Kizazi Milennial Waliozaliwa 1981-1996

 Kizazi Z (Gen Z) Waliozaliwa 1997-2010

 Kizazi Alpha Waliozaliwa 2010-2024

Chanzo: Jarida la Parents