Tazama marais wa sasa wa mataifa ya Afrika waliohudumu muda mrefu zaidi

Rais Kagame ambaye ameiongoza Rwanda tangu mwaka wa 2000 amechaguliwa tena kuhudumu kwa muhula wa 4.

Muhtasari

•Teodoro Obiang wa Equatorial Guinea ndiye rais aliyehudumu kama rais kwa muda mrefu zaidi huku akiwa ametawala tangu mwaka 1979.

wa sasa wa Afrika waliohudumu muda mrefu
Marais wa sasa wa Afrika waliohudumu muda mrefu
Image: WILLIAM WANYOIKE
wa sasa wa Afrika waliohudumu muda mrefu
Marais wa sasa wa Afrika waliohudumu muda mrefu
Image: WILLIAM WANYOIKE