Katika picha: Matokeo ya mashambulizi ya anga huko Lviv

Muhtasari

Mashambulio ya makombora ya Urusi yaligonga vituo vidogo vya umeme karibu na mji wa magharibi wa Lviv Jumanne jioni.

Wazima moto wanapambana kuzima moto mkubwa katika mojawapo ya vituo vilivyoshambuliwa kwa makombora

Image: Reuters

Mashambulio ya makombora ya Urusi yaligonga vituo vidogo vya umeme karibu na mji wa magharibi wa Lviv Jumanne jioni.

Mashambulizi hayo yanakisiwa kuelekezwa dhidi ya mtandao wa reli wa Ukraine, ambao ni muhimu kwa usambazaji wa silaha kutoka kwa washirika wa magharibi kuelekea mashariki mwa nchi hiyo.

Picha nyingine inaonyesha athari iliyotokana na shambullio hilo.
Picha nyingine inaonyesha athari iliyotokana na shambullio hilo.
Image: Reuters
Moshi unaonekana ukifuka kwenye anga ya Lviv kufuatia mashambulio ya makombora ya Urusi ya Jumanne jioni.