Je mwanamke anapaswa kumkubali tena mwanamume ambaye alimuacha kwa ajili ya mwanamke mwingine?

Muhtasari
  • Je mwanamke anapaswa kumkubali tena mwanamume ambaye alimuacha kwa ajili ya mwanamke mwingine?

Si mmoa au wawili bali baadhi ya wanawake waliachwa na wapenzi na waume wao na kuenda kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mwingine.

Swali ambalo wanawake hao ujiuliza ni kwamba kwani ni nini ambacho mwanamume huyo aliona kwa mwanamke huyo ambacho hakuona kwake.

Ni jambo ambalo uwaacha wengi na masongo wa mawazo hata wengi kujaribu kujiua kwa maana walikuwa wameeka matumaini yote kwa mwanamume huyo.

 

Kuna mwanamume ambaye umuacha mkewe kwa mambo tofauti na kutojali watakayo kula watoto wake.

Swali kuu katika makala ni je mwanamke anapaswa kumkubali mwanamume ambaye alimuacha kwa ajili ya mwanamke wake katika maisha yake tena?

Kulingana na maoni yangu ni kuwa kama umetoka katika maisha yangu haya basi husirudi ata ukiwa na shida kwa maana wakati huo uliniona sina maana.

Pia kunawanaume wakiomoka wanakuacha mwishowe akipatwa na shida ndio anakukumbuka je huo ni uungwana kweli?

Kuna wanaume ambao wakirudi katika maisha yako watakuwa na haya ya kusema au marafiki zako watakuambia haya;

Sameha na usahau

Ni ngumu sana mwanamke kusahau dharau ambalo alionyeshwa na mpenzi wake kwa maana aliweka moyoni mwake.

 

Ndio kuna wale ambao watasameha na wasahu lakini apate shida ile tu alipitia awali.

Pia kuna wale watawashauri wanawake kama hao wasiwakuali wanaume hao tena, na anapaswa kuendelea na maisha yake na kumsahau ata akipiga magoti mara ngapi.

Ni wakati ambao mwanamke anapaswa kuachwa pekeyake na kuamua anachotaka katika maisha yake.

Je maoni yako ni yapi kuhusu mwanamke kumkubali mwanamume ambaye alimuacha kwa ajili ya mwanamke mwingine?

Je kama wewe mwanamke unaweza kumkubali, na kama mwanamume unaweza kuamcha mke wako au mpeni wako kwa ajili ya mwanamke mwingine?