Mambo mwanamke anastahilii kujua kabla ya kumchumbia mwanamume

Muhtasari
  • Mambo kila mwanamke anahitaji kujua kabla ya kumchumbia mwanamume

Hakuna hisia chungu zaidi kama kumpenda mwanaume kwa dhati ya moyo wako na baadaye ujute uamuzi wako kuwa naye.

Uhusiano wa kimwiili unapaswa kuwa raha kwa wawili wanaopendana, kwa hivyo jipende na ujipe nafasi nzuri ya kuwa na mwanamume wako.

Hata hivyo, kuna vitu kadhaa unahitaji kujua kabla ya kumchumbia au kujihusisha na mwanamume katika tendo la ndoa.

1. Kuwa salama

Karne hii ya saa lazima wanaume wadhibitishe kama gari inaweza kazi au la, na maanisha nini na hayo? lazima wafanye tendo la ndoa iwapo wako katika uhusiano wa kimapenzi na mwanamke.

Lakini kama mwanamke unapaswa kutumia kinga ukifanya tendo hilo, na wala mwanamume asikujaribu na kukuambia mfanye hivyo bali hujui hali yake ya afya.

2.Kutana na marafiki zake

Je unafahamu rafiki mmoja wa mpenzi wako? kama la unapaswa kujua marafiki zake, kwani kuna yule atakuamba ukweli kuhusu mpenzi wako au mwanamume wako.

3.Mfahamu na umjue kwanza

kama hutomfahamu manamume wako katika uhusiano wenu kutakuwa na shida kila kuchao, kwanza mfahamu na uchunguze kuhusu maisha yake.

4.Jua kile unataka

Lazima uwe na maazimio yako katika uhusiano wenu, unahitaji nini katika uhusiano huo.

Kuna baadhi ya wanwake hujuta baada ya kuingia katika uhusiano wa kimapenzi kwa maana hawakujua wala kufahamu kile wanahitaji katika maisha yao.