Wanaume!Ishara zinazoonyesha mpenzi wako anakufikiria

Muhtasari
  • Wanaume!Ishara zinazoonyesha mpenzi wako anakufikiria
  • Ni kawaida kufikiria juu ya mtu ambaye unampenda sana na mwenye ana nafasi maalum katika roho yako

Wanaume mpo, ni wakati mwingine wakati tunalazimika kukupa njia zaidi za kuishi. Wakati mwingine tunafikiria juu ya mtu  ambaye tunampenda sana au mpenzi wetu na tunajiuliza ikiwa anafikiria pia juu yetu.

Ni kawaida kufikiria juu ya mtu ambaye unampenda sana na mwenye ana nafasi maalum katika roho yako.

Swali huja wakati unapojiuliza ikiwa watu unaowafikiria, pia wanakufikiria.

Ishara hizo ni kama;

1.Kuhisi kuguswa

Umewahi kuwa mahali fulani akifanya kitu kingine na kwa ghafla unahisi kama mtu amekugusa tu.

Hii daima ni ishara kwamba mtu anakufikiria. Inatokea sana kwenye bega, unahisi tu kama mtu amegusa bega lako tu.

2.Tabasamu kila wakati

Unapomfikiria mpenzi wako na kisha unaanza kutabasamu  bila sababu haya basi fahamu kuwa mpenzi wako anakufikiria kila mara.

3.Kupepesa macho

Tunafahamu vyema kuwa unapopepesa macho hutoka kwa akili, kwa hivyo jua na ufahamu vyema kwamba mpenzi wako amekuweka kwenye akili yake na anakufikiria.

4.Anapooulizia marafiki zake kukuhusu

Ndio mnaweza kuwa hamjaonana lakini mpenzi wako akifanya bidii ya kuwauliza marafiki zake kama wamekuona amekuweka katika nyayo za akili zake.