(VIDEO) Maafisa wa polisi wa ngazi ya chini wamdhalilisha mkubwa wao ndani ya baa

Muhtasari

Maafisa wa polisi wa cheo cha chini kutoka Kasarani wakimkamata DCIO wa Kayole

MAAFISA wadogo wa polisi kutoka Kasarani wakimkamata DCIO wa Kayole. Katika hatua iliyotajwa kuwa mbaya na hatari kumdhalilisha afisa wa cheo cha juu.