(Video) Mshtuko, hofu huku Uvalde ikiomboleza watoto waliouawa kwa kupigwa risasi shuleni

Muhtasari

• Jamii ya watu 16,000 imetikisika baada ya mtu aliyejihami kwa bunduki kuwaua watoto 19 katika Shule ya Msingi ya Robb.