Ajali ya Ndege

Mtu mmoja afariki baada ya Helikopta ya KWS Kuanguka

Muhtasari

 

 Mtu mmoja ameaga dunia  katika ajali hiyo 

 

Ndege moja ya helikopta ya shirika la KWS imeanguka mwendo wa saa moja  na dakika 38  na kumwuua mtu mmoja  . Ajali hiyo iltokea katika eneo la Orly Airpark wakati  ikifanya mazoezi  na ilihusisha  ndege  aina ya AutoGyro MTOsport2010  yenye nambari ya usajili  5Y-KWV.

 KWS imesema uchunguzi kuhusu chanzo cha aali hiyo utafanywa .