Hamisa adokeza Diamond alidanganya kuhusu Alikiba kwenye mahojiano

Mobetto-Diamond-696x418
Mobetto-Diamond-696x418
Hamisa Mobettoo na msanii Alikiba waliwaacha mashabiki na watu wengi wakizungumza baada ya msanii huyo kutoa wimbo wake wa Dodo akimshirikisha Hamisa.

Katika mahojiano ya awali Diamond alisema kuwa kabla ya Hamisa hajaenda kutoa wimbo huo na alikiba alimuomba ruhusa na hata akampa baraka zake.

“Ali has every right to use anyone he pleases in his music videos, my fellow parent also has the right to appear in any video she likes,” Diamond said. “Even before shooting the video, she told me Ali Kiba wanted her to appear and was telling me so that I don’t watch it later and think otherwise as it came out.” Alizungumza Diamond.

Wiki hii mmoja wa mashabiki wa Hamisa alisema kuwa hatopost picha za Hamisa mpaka maombi ya Ramadhani yakamilike,katika kitengo cha maoni Hamisa alimuuliza Diamond;

"MIMI KAMA SHABIKI WENU, WEWE NA DADA YAKO HAMISA, NINGEPENDA KUJUA KAMA NI KWELI MMEOMBA RUHUSA."

Ni mawazo na fikra za wengi kuwa Hamisa hakuomba ruhusa kutoka kwa Diamond lakini je Diamond alidanganya akiwa katika mahojiano au la?

Wakati hamisa alikuwa na ujauzito Diamond alidanganya kusema kuwa Hamisa si mjamzito na ujauzito si wake

TANGIA NIMESHOOT VIDEO YA SALOME YAMETOKEA MAMBO MENGI KWAMBA MIMI NATOKA NA HAMISA LAKINI HIZO ZOTE NI ZA UONGO. NILIMWAMBIA ZARI AJUE KWAMBA HIZO ZOTE NI STORI ZA UONGO NA NIMESIKIA KWAMBA NI MJAMZITO NA BAADA YA VIDEO ILIBIDI NIKAE NAYE MBALI.

HANA UJAUZITO WANGU NA SIJAIKUA NA MAHUSIANO NAYE. SIJAIKUA NA UJAUZITO NAYE MASKINI WA MUNGU. BWANA NAYE SI AJITOKEZE ASEME MWENYE MIMBA!”Alisema Diamond.