Happy birthday,'Eric Omondi asherehekea siku ya kuzaliwa

Eric Omondi anafahamika sana kwa ucheshi wake, ambao huwafurahisha wengi. Staa huyu leo anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

Je amefikisha miaka mingapi hii leo?

Marafiki na hata wasanii na watangazi wamemtakia siku njema ya kuzaliwa.

Eric hii leo kupitia mtandao wa kijamii ameandika ujumbe ufuatao kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa.

"Please help me wish this guy a HAPPY BIRTHDAY🙏🙏🙏 GOD HAS BEEN GOOD and it appears we are about to change gears.This is the Year of the KENYAN FLAG🇰🇪🇰🇪🇰🇪...Through Gods Grace and Favor we will fly it around the World." Eric Aliandika.

Baadhi ya watu ambao walimtakia siku njema ya kuzaliwa ni kama vile wafuatao.

Ma nigga happy birthday
:Happy birthday
Hbd bro , many blessings as you turn 49.

Happy birthday Thank for always bringing laughter to our tls. More life, more blessings 🚀✊🏾
Happy birthday my brother the president of comedy more life more wins. Bless up👊
Na wengine wengi nasi wana jambo hatutawachwa nyuma Tunakutakia siku njema ya kuzaliwa.