Hatuwezi sambaratika, tuna lengo moja asema Kisumu Seneta kuhusu NASA

prof nyongo
prof nyongo
Hivi karibuni mtaweza kusoma wasifu wa maisha ya Senata wa Kisumu Anyang Nyongo.

Lakini tukingojea hayo ni kwamba Anyang Nyongo alizindua nia lake la kuwania Gavana wa Kisumu katika uchaguzi ujao. Kwa nini?

Leo katika kipindi cha Gidi an Ghost Asubuhi, tulikuwa naye Senata Wa Kisumu Anyang Nyongo ambaye alituarifu mengi kuhusu NASA na hatma yake ya kuchukua kiti cha ugavana.

Gidi: 'Ni maswala yapi yanayo fanya uwanie hii kiti?

Anyang; 'Nataka kupiga marufuku mambo ya ufisadi'.

'Ni mimi ambaye nilifanya juu chini ili governor ranguma apate hio kiti ya kaunti ya kisumu. Sasa baadaya kumpatia mmalaka tulikaa chini tukawa na majadiliano ya kuendeleza mananeo ya county vipi kwa sababu lengo letu ni kuboresha maisha ya mwananchi'.

'Tulipopatia Ranguma jukumu hlil tulikuwa na matumaini na hamu kuona ya kwamba kaunti ya kisumu inaendelea kimaendeleo lakini kwa bahati mbaya tuliona kwamba Ranguma na watu wake walikuwa wakijishugulika na mambo ya 'tender kila siku.

Gidi;  Ukiwa mwa ndani wa NASA, Prof tuanze na habari kuhusu makubaliano kusu muungano wa NASA.

Prof Nyongo : 'Leo tutaonyesha waKenya tuliyokubaliana'.

Leo tutawaonyesha wa Kenya agreement yetu. Kwasababu maambo ya kujua flagbearer ni ya baadaye. Kwani ni lazima wananchi wajue ikiwa NASA iko ndani ya serikali itafanya NASA itafanya nini, NASA ita kuwa serikali ya aina gani. Hiyo ndio step ya kwanza. Na badaye tutenda njia ya majadiliano tutaamua ya kwamba nanai atakuwa flagbearer na hiyo tutaangaza baadaye.

'Tuonane mashinani', Seneta wa Kisumu Anyang Nyongo alifunga mjadiliano kati yake na Gidi. Skiza kanda ifuatayo;