‘Hii ni lodging?’Mashabiki wamwambia Willy Paul baada ya kuonyesha televisheni yake ya inchi 24

Willy-paul-Kenya-696x418
Willy-paul-Kenya-696x418
Kuwa msanii ni jambo ambalo si rahisi, ni lazima huishi maisha ya kifahari, na lazima huwe kamili la sivyo kila siku utapokea ukosoaji kutoka kwa mashabiki.

Willy Paul aliposti videoa akiwa anacheza wimbo akiwa nyumbani kwake, lakini mashabiki wake walichoona si mtindo wake wa kucheza lakini waliona televisheni ya inchi 24 iliokuwa kwenye ukuta wake.

Wengi walishindwa Willy Paul kama msanii mashuhuri anaweza kuwa aje na televisheni kama hiyo?

Ni video ambayo iliibua hisia na gumzo kwa wanamtandao na haya hapa maonni yao;

Tedd Gee Na anavaa kiatu ya 10k😅😅 hata pengine hajanunua boxers hii mwaka

dunnymukenyi Kwani anaishi kwa bedsitter???

Adamdaffi Kiplagat Kwanza Inakaa HTC ama ni TCL🤔🤔

Jane Malesi When did the size on a TV represent someone’s bank account balance 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! She is one that will have the partner buy all the fancy staffs in a rented house instead of buying her own home 🤣🤣🤣🤣

Kula Chako Bedsitter pia iko na bedroom 😂😂😂

isma_esmile Unmount screen ya gari kwa nyumba?? I can’t can

Adjija Rourin Palmer Hii ni Airbnb ama lodging…Hakuna vile utaweka ka tv ka 24 inch as a secondary.

Peter Wanyoike Usishtuke kupata hio tv iko na nyuma kubwa kuliko ya aka Carol…🤣🤣🤣

g.i_charlie 24 inch TV 😂

Ale Jinx Hart I can see he also has a 24 inch chest

Steve Bedrooms hazinanga cable ya aerial…..hapa mkunaji alikuwa duty maha