Hongera!! Mkenya Pascal Tokodi ashinda tuzo la muigizaji bora

tokodi (1)
tokodi (1)
Mwaka wa 2020 bado ni mchanga lakini msanii na muigizaji mashuhuri humu nchini, Pascal Tokodi tayari ana mengi ya kufurahia na kusherehekea.

Alikuwa ameteuliwa katika tuzo la AMVCA kama muigizaji bora baada ya kuigiza katika filamu ya humu nchini kwa jina, Disconnect ambapo aliwasihi mashabiki wake wamsaidie kuleta tuzo hilo humu nyumbani.

Kama kawaida wakenya walijitolea kwa hamu na gamu na kumpigia kura na kupelekea Pascal kushinda tuzo hilo. Kupitia mtandao wake wa kijamii, muigizaji na msanii huyo alitangaza habari hizo njema akisema;

It’s coming HOME😂😂😂😂😂😂 #bestsupportingactor! Thank you all for your support!! TUZIDI MBELE!!😅😅🇰🇪🇰🇪🇰🇪#disconnect #amvca2020

King Kaka ambaye ni rafikiye Tokodi ni mmoja wa waliojawa na furaha kufuatia ushindi huu wa kipekee na alisema kuwa hakuwa na tashwishi lolote kuwa angeshinda tuzo hilo.

“I am so so happy utadhani ni yangu. Congratulations Brother , told you we have to reclaim what’s ours. You deserve it no question. When you win , we all win.” King Kaka alisema.

Ma celeb kutoka Afrika mashariki waliungana na kumpa hongera Tokodi;

Sarah Hassan: Congratulations 🎉🎊🎈💃🏾🎉

Hamisa Mobetto: Congratulations 🎉 💃🏽💃🏽

Kate Actress(ambaye pia alikuwa kwenye filamu hiyo ya, Disconnect): Dude we are so proud of you 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

Kartelo: 🍻🍻 CONGRATULATIONS

Pierra Makena: Yaaaaaas

Joyce Maina : Congratulations!!!! 👏🏾👏🏾👏🏾

Kriss Darkin: 🙌🙌🙌🙌 CONGRATULATIONS buuuuuuuuda

Bien: CONGRATULATIONS CHAMP

Sailors: Congratulations G

Willis Raburu: Wonderful brother 💯🙏🏾

Kila mmoja hapa Radio Jambo tunampa Tokodi pongezi na kumtakia baraka tele.