Hussein Mohamed aitema runinga ya Citizen, sababu zatajwa

unnamed
unnamed
Ni bayana kuwa sasa hautoweza kumwona mwanahabari Hussein Mohamed akisoma habari katika kituo cha runinga cha Citizen.

Hussein alikuwa anasoma habari katika kituo hicho pamoja na kufanya mijadala na mahojiano.

Mohamed amekuwa akisoma habari kwa kipindi cha miaka 10.

Hussein alitangaza taarifa hizi kupitia mtandao wa Twitter.

Soma hadithi nyingine:

"Imekuwa miaka 10 ya kufana sana katika kituo cha Citizen. Nimefurahia na kujihisi freshi na wafanyakazi wenzangu..."

"Nimeamua nichukue breki kidogo baada ya Oktoba ili niangazie maswala mengine...' ulisoma ujumbe wake wa Twitter.

Kutoka kwake kunafuatia kujiuzulu kwa Janet Mbugua ambaye alisema anatoka kufanya dili za kibinafsi.

Mashabiki na wafuasi wake wamemtakia mema baada ya uamuzi huo:

Soma hadithi nyingine:

Brayo Omosayansi said, "You've ever been my best broadcaster, will miss you. Every Tuesday Night I usually waited to see you there with such a welcoming advert.............. Live from Citizen TV this is Tuesday Night By Hussein Mohamed... All the best in your next move."

Jacques Masea said, "You taught me a lot when I joined RMS, we made fun, we researched and prepared the Big Question show. I wish you well my brother."

Anker Baker wrote, "Goodbye may you have joy and success in your future endeavours."

Alfred Mwanzu said, "All the best Hussein. You've always been my favourite anchor on prime time news with your in-depth interviews. Good luck."

Paula Mwalo wrote, "Boss I sure wish you well, and I hope you are making a money move..BBC, CNN maybe? All the best."

Adawa Junior said, "Great journalist, we gonna miss you our screen Hussein all the best in your future."

Brayo Omosayansi said, "You've ever been my best broadcaster, will miss you. Every Tuesday Night I usually waited to see you there with such welcoming advert.............. "Live from Citizen TV this is Tuesday Night By Hussein Mohammed"... All the best in your next move."

Jacques Masea said, "You taught me a lot when I joined RMS, we made fun, we researched and prepared the Big Question show . I wish you well my brother."