Ilikuaje: Niliteseka Afrika Kusini asimulia kakake Getrude Mungai

Katika kitengo cha ilikuaje, Bi Mary Njuge alijiunga na Massawe Japanni ambaye aliweza kusoma stori yake katika gazetti na kusema huu mama laizima amlete studio awaeleze wakenya jinsi alivyo okoa kakake Getrude Mungai kule afrika Kusini.

Ni nini anachofanya Afrika Kusini?

Nilingiaa south africa mwaka 1992, tukienda kutafuta mali na biashara, na kutoka wakti huo tulikuwa wakenya wa kwanza kuingi hilo nchi.

kwa hivyo nikawa na nafasi sana ya upata wakenya ambao wameingia shida and hiyo ndio iligusa mwoyo wangu. sana sana watu young wakiingi south africa wanapata shida. 

Nilipanda ngazi na kwasabau nilikuwa na deal na community, walinipenda. lakini kwa hiyo kupanda ikawa shida. kupitia hapo ndio maisha ikawa ngumu na serikali ikaleta rules ngumu sana, ikabidi tutoroke usiku. 

Maisha ikaanza kuwa ngumu, ikafika hio wakati ya xenophobia, na tulalose hiyo building walipochoma. 

Walitake over building na huwezi rudi, kwasbabu wamehijack building. 

Skiza kanda ujue alipohepa xenophobia;