Kalekye Mumo asimulia changamoto anazopitia katika kupata mume.

Kalekye Mumo hivi majuzi alisimulia wazi jinsi ambavyo imekuwa changamoto kwake kupata mchumba.

Kupitia mahojiano ya runinga katika kipindi cha kituo cha NTV cha Wicked Edition, Kaleyake ambaye alikuwa mtangazaji wa radio hapo awali lisema kuwa imekuwa vigumu kwake kupata mpenzi kwa sababu watu wanadhani kuwa yeye ni tajiri.

"The boychild does not want to work for what they see a person like me having. They have become lazy.

"The want to date me yet they are only 20-years-old at that time because they think I can sponsor their lives. They don't want to work. I feel it's a generational problem," Alisema

Vile vile alisema kuwa alipokuwa mchanga mamake alimwonya dhidi ya kuoelewa na jamii fulani.