Kanze Dena aweka wazi kuwa alikimbia urafiki wake Lulu

Ni mwanahabari ambaye alikuwa anafahamika sana nchini na kujulikana kama rafiki wa mtangazaji wa Lulu Hassan, aliweza kufichua kwamba karibu aharibu uhusiano wake na rafiki yake wa kufa na kupona.

Hii ni kwa sababu la jambo ambalo lilimpa kiwewe na kuangalia maisha kwa umbali.

Kanze aliweza kumpoteza kifungua mimba wake Natasha Anzanzi akiwa na miezi tatu huku asijue kilichosababisha kifo chake.

"Mpaka leo sijawahi jua kilichomfanyikia mtoto wangu, niliweza kumuacha na mama yangu na kuenda kutafuta kazi ili tuweze kujikimu," Kanze alisema kwa mahajiano na parents.

Kanze aliweza kupata mtoto wake wa kwanza akiwa na umri mdogo, akisimulia gazetti hilo alisema kuwa..

"She woke up at night, the one thing that stood out that my mum keeps saying is she never used to pass stool in the night. But this particular night, she woke up and she passed stool. Normally, when she woke up she would be playful but this night she just lay still." Alisimulia Kanze.

Mamake Kanze alipatwa na wasiwasi huku akijaribu kumuamsha Natasha.

"Mtoto wangu aliweza kuamka, akampa mamangu tabasamu kisha akakata roho." Alisema Dena.

Kanze Dena aliweza kusema kuwa kwa sababu hawakuwa na pesa za kutosha mwili wa mtoto wake haukuweza kufanyiwa upasuaji ili kubaini kilicho sababisha kifo chake.

Kanze akiwa katika kipindi kimoja aliweza kusema kuwa aliweza kumuuliza Mungu maswali amabayo hayakuwa ana jibu.

"I began questioning God why he had prevented me from giving up the baby for adoption only to take her away from me. It made me feel like God was punishing me." Alizungumza Kanze Dena.

Uoga huo wa kumpoteza mtoto wake uliweza kuathiri uhusiano wake na rafiki ya Lulu Hassan, na pia kuweza kuzoeana na mtoto wake wa pili.

Kanze aliongeza na kusema kuwa wakati Lulu aliweza pata mtoto wake wa pili alikuwa tu anajilazimisha kukaa katika uhusiano huo lakini aliweza kutoka katika uhusiano huo.

Hadi wa leo Lulu hajui kwa nini niliweza kukimbia kutoka kwa uhusiano wetu.

Akimalizia alisema, "To date me and her last born have never bonded as much as her first born. That is because I pulled out. It really got to me. At some point, I found myself always crying I figured the best thing was to stay away.

To date,I still cannot handle a 0 to 3 months baby," Kanze aliongea.