Kiuno kitapasuka nani! Vera Sidika awashauri wanawake namna ya kujikinga wakati wa Twa Twa

Wiki moja tu baada ya kuzindua ukurasa wake wa kuzungumza na mashabiki wake walio na miaka 18 na zaidi, Vera Sidika sasa ameanza kuwashauri wanawake kutumia manukato wakati wanaposhiriki Twa twa na wapenzi wao.

Akitumia muda wake kuuza  brandi za kampuni zinazotengeneza manukato hayo, Vera amesema kuwa wanawake wengi hujipata pabaya wakati wa kushiriki tendo hilo.

Sometimes women like to spice up their se3ual relationships and explore in the bedroom. This is where @omosholas_place comes in with their royal honey syrup. Make sure you follow them on IG @omosholas_place and check out their website ❤️.  Ameandika Vera

Amesema asilimia kubwa ya wanawake hukumbwa na shida mbalimbali wakati wa kujifurahishwa kupitia ngono na hivyo ipo haja kuanza kutumia manukato wakati wa kushiriki tendo hilo.

‘There are some women who actually have a problem. I don’t have a problem though, anyway’aliongezea Vera

Usemi wake unajiri siku chache tu baada ya mwenzake Huddah Monroe kuwataka wanawake kujiuza kimwili ili kuachana na tabia ya kuombaomba pesa kwa wanaume kila mara.'