Kumbe ni wewe, Kutana na mpenzi wa malaika video vixen wa Diamond

NA NICKSON TOSI

Malkia ni msichana aliyeshirikishwa na Diamond katika video ya wimbo wake mpya wa JEJE ,msichana aliyezua gumzo mitandaoni baada ya kusemekana kuwa alikuwa anamchumbia Diamond hivyo kufanya uhusiano baina ya Diamond na Tanasha kufikia kikomo.

Wakati mwengine alijipata pabaya  baada ya kuingiliwa katika mitandao ya kijamii na baadhi ya shemeji wa Tanasha[walipokuwa pamoja na Diamond] kwa kile walidai kuwa ni kumuaribia Diamond uhusiano wake.

Hapa ni picha za Malkia akiwa na mpenziwe.

Malkia amehusishwa katika video mbali mbali na wasanii kama Burna Boy na alilelewa katika taifa la Island.