Kumbe!Mambo ambayo hukufahamu kuhusu mbochi mzungu wa Atwoli

Screenshot-from-2020-06-24-22_26_39
Screenshot-from-2020-06-24-22_26_39
Mbochi wa katibu mkuu wa chama cha wafanyakazi nchini COTU Francis Atwoli amekuwa akienea sana katika mitandao ya kijamii baada ya picha zake kuibuka akimnawisha mkewe Atwoli Mary Kilobi mikono.

Ni picha ambayo ilitamba sana kwenye mitandao na kuibua hisia tofauti kwa muda mfupi baada ya mary kuposti kwenye mitandao hiyo,

kenyansister Yaani mpaka Mboch ni mzungu? 🤔

malagho 🙆Mbochi mzunye🙊🙊🙇‍♂️lanes lanes lanes🙌🏃

churchil_winstoe Mmeamua ni Reverse😂😂😂

brendayieko Househelp wako ni mzungu…

ge.offrey9785 End of slavery, you are a good example to other Africans madam

Atwoli alijitokeza na kukana madai kuwa mwanamke huyo ni mfanyakazi wake bali alisema kuwa ni mshauri wa nyumbani.

Wengi hawakukubaliana na Atwoli bali walisema kuwa ni mbochi wake na kuwa anatumia manno hayo matamu ili kujiondoa kwa madai hayo.

Haya hapa baadhi ya mambo ambayo hukufahamu kuhusu mbochi huyo.

1.Jina lake ni Madam Pavic

2.Ni mzungu kutoka Colombia

3.Amemfanyia katibu Atwoli kazi kwa muda wa zaidi miaka mitano

4.Ni mnyenyekevu na upishi wake huko katika kiwango kingine