Kutengwa kwa wiki mbili si mchezo,’Diamond azungumzia hali yake ya corona

diamond
diamond
Baada ya kutangamana na meneja wake Sallam SK Mendez aliye thibitishwa kuwa ana virusi vya corona, Diamond na wenzake walitengwa kwa wiki mbili ili kuchunguzwa waliweza kuambukizwa.

Kupita mtandao wa kijamii  Sallam alizungumza na kusema kuwa hana virusi vya corona baada ya kutibiwa na kuwa katika karantini kwa siku kumi na nne.

Aliwashukuru pia mashabiki wake kwa kumjulia hali, kwa sasa lebo ya WCB inafuraha tele baada ya mkubwa wao na staa wa nyimo za bongo kusema kuwa naye pia hana virusi vya corona baada ya pia naye kuwa katika karantini kwa siku kumi na nne.

Akizungumza na mashabiki wake kupitia mtandao wa kijamii alisema,

“HERE’S A MESSAGE TO YOU MY FANS, CORONA IS REAL, CORONA IS DANGEROUS, SO LETS CONTINUE TO TAKE PRECAUTION MEASURES AS INSTRUCTED BY HEALTH PROFESSIONALS TO MAKE SURE THAT THIS PANDEMIC DOESN’T SPREAD IN OUR COUNTRY.” Aliandika Diamond.

“STAYING IN ISOLATION FOR TWO WEEKS WAS NOT EASY, BUT NECESSARY TO MAKE SURE THAT WE PROTECT OUR LOVED ONES, OUR COMMUNITY AND THE COUNTRY AS A WHOLE.”

Pia alimshikuru mola kwa hayo yote huku akisema kuwa katika kutengwa si mchezo wala jambo rahisi.

“I WOULD LIKE TO THANK ALLAH FOR COMPLETING MY 14 DAYS OF ISOLATION WITHOUT A CORONAVIRUS INFECTION. ALLHAMDULILAH. MY SINCERE GRATITUDE GOES TO THE GOVERNMENT, THROUGH THE MINISTRY OF HEALTH AND ALL DOCTORS WHO WERE TAKING CARE OF US, MAKING SURE THAT THEY TESTED US FOR THE WHOLE 14 DAYS.”

Alimalizia na kunakili kuwa

"ALSO, I THANK YOU MY FANS, FOR PRAYING AND WISHING ME GOOD HEALTH DURING MY ISOLATION, YOUR PRAYERS HAVE BEEN ANSWERED."