'Kuwa baba haiji na mwongozo,'Muigizaji Luwi awatambulisha wanawe

Muigizaji wa kipindi cha Maria kinachopeperushwa kwenye runinga ya Cittizen Brian Ogana almaarufu Luwi Hausa amewatambulisha wanawe kwenye mitandao ya kijamii ya instagram huku wakiwa katika gazetti la 'Parents'.

Baada ya kuposti picha akiwa na wanawe watatu, aliandika ujumbe huku akiwaambia mashabiki wake ya kwamba atawaeleza safari yake ya kuwa baba.

https://www.instagram.com/p/CErVcf1lz-9/

Pia alisema kuwa baba hakuji na mwongozo bali ana shukuru kwa kuwa yeye ni baba.

"  nikubalisheni kuwatambulisha watu wangu wenye akili nzuri ambao huwa wananiangalia kuwa baba hakuji na mwongozo ninashukuru kwa kuwa mmoja wao

Mimi ni mwanamume wa kawaida lakini shujaa machoni mwa munchkins wazuri wangu   kutana na kikoso changu/Mbogi genje  😊 ( mukitaka professional mourners squad iko tayari🤣🤣)." Aliandika Luwi.

Ni picha na ujumbe ambao uliokelewa vyema na mashabiki huku wengi wakiuliza yuko wapi mama yao, na hizi hapa baadhi ya jube zao.

juddie_bore Lovely family

cruz.peris So adorable

pablo_dudah Thats true. A hero you are.

https://www.instagram.com/p/CEsv95rlWTB/

muthcarol Wow its🔥🔥🔥so beautiful❤️

nyawirapurity Lovely.

winniemutisya2137 U r blessed

juniorchampee Nice family👏

sir_johnstone01 Beautiful family #Theoganas @sir_brianogana God bless you and your family🔥❤️

sylviabonnie1988 I thought ur still up for grabs 😂