Lupita Nyong'o atuma rambirambi zake kwa Nikita Pearl

Lupita alituma risala za rambirambi kwa aliyekuwa muigizaji wa onyesho tofauti Nikita Pearl Waligwa aliyefahamika sana kwa onyesho la Disney movie kwa jina Gloria.

Nikita aliaga dunia kutokana na saratani ya ubongo, alikuwa na miaka,15,

Gloria alikuwa rafiki yake mwanawe Lupita Phiona Mutesi katika Disney huku akimweleza jinsi mchezo wa Chess uliigizwa.

Nikita aligunduliwa na uvimbe wa ubongo mwaka wa, 2016, huku duru zikiarifu kuwa alisaidiwa na Disney movie kwenda nchini India kwa matibabu.

Mwaka wa 2018 alipatikana na uvimbe mwingine, kifo chake kilitangazwa na shule ya upili ya Gayaza kupitia mtandao wa kijamii wa twitter.

"Ulikuwa kipenzi cha wengi, na tumekupoteza ukiwa na umri mchanga kwa sababu ya uvimbe wa ubongo." Iliandika.

Lupita hakuachwa nyuma kwa kutuma rambirambi zake na hata kuandika ujumbe wa kutoa wengi machozi.

"It is with great sadness that i post about the passing of Nikita Waligwa,the sweet,warm talented girl whom i worked with on the film, queen of katwe. She played Gloria with such vibrancy.In her real life she had the enormous challenge of battling brain cancerMy thoughts and prayers are with her family and community as they come to terms with having to say goodbye so soon. May she truly rest in piece. May it be well with her soul." Lupita Aliandika.

Ni filamu ambayo inawavutia wengi hadi sasa, ni habari ambazo ziliwashangaza wengi na baadhi ya watu au mashabiki waliotuma rambirambi zao ni kama wafuatao.

Mindykaling:This is terrible news. Loved her and loved the film.

Sobandekusimo:I pray that God wraps his arms of comfort around her family.

noelrusli123:Rest In Paradise💗