‘Maamlaka yapo katikati  ya miguu  yenu’ Akothe awashauri akina dada  baada ya Tanasha kumshtaki Diamond kuhusu mtoto

Mwanamuziki  mzushi Akothe ametoa ushauri wake kwa akina dada  .Mama huyo wa watoto watano amesema  amewatahadharisha wanawake kuwa waangalifu wanapofanya mahusiano na wanaume  na wajilinde dhidi ya mimba wasizopanga  ili wasijipate katika mahaingaiko ya kuwalea watoto hao pekee yao .

Msanii huyo wa kibao  Sweet Love  amesema aliwakataa wanaume kadhaa na kama angekubali  basi angekuwa mama ya watoto wengi zaidi wakati huu .

Aliandika ;

NEVER BLAME A MAN FOR RUINING YOUR LIFE, YOUR LIFE IS IN YOUR HANDS AND THE POWER IS IN BETWEEN YOUR LEGS, ENGAGE YOUR BRAIN AND DISCONNECT YOUR HEART FOR NOW, AND THINK STRAIGHT 

A MAN CAN IMPREGNATE UP TO 100 WOMEN IN A YEAR, BUT 100 WOMEN CAN ONLY GET PREGNANT ONCE A YEAR! SO AS A WOMAN, HAVING A CHILD IS BASICALLY YOUR CHOICE, IN THIS AGE AND ERA THERE IS NO ACCIDENT IN GETTING PREGNANT! IF SO, ALL SLAY QUEENS INCLUDING ME, WOULD BE PREGNANT BY NOW, JUST IMAGINE IF ALL THE MEN I DATED CONVINCED ME TO HAVE A CHILD FOR THEM AFTER OYOO  I WOULD END UP WITH A WHOLE NURSERY SCHOOL, ME THAT IS FERTILE LIKE A CHICKEN SO AFTER OYOO FULLSTOP,’

Rais  huyo wa kujitangaza wa akina mama wasio na waume  ameendelea kuwaambia wanawake kuhakikisha kwamba mwanamume anawekeza zaidi kabla ya kukubali kupata mimba yake  ili kupeuka visa vya kupelekana mahakamani

IF YOU WANT A CHILD, THEN INVEST FIRST, I HAVE NO TIME TO CHASE YOU AROUND FROM ONE COURT TO THE OTHER, FROM ANOTHER LAWYER TO A COUNSELOR, IT’S BETTER TO TELL YOU NO NOW, THAN TO CHASE YOU LATER ,YOU TELLING PEOPLE HOW I HAVE NEVER MOVED ON, AND I WANT YOU BACK ,NOP, THERE IS NO BABY MAMA WHO EVER MOVES ON AS LONG AS WE HAVE A CHILD WITH YOU, RESPONSIBILITIES NEVER MOVES ON UNTIL THE CHILD ATTAINS AN AGE WHERE HE CAN FEND FOR HIMSELF, ITS A LIE, WE JUST PUT ON A STRONG FACE, BUT THAT THING HITS BADLY BELOW THE BELT , WE BABY MOMMAS OF OLD DAYS, WE ARE VERY INTELLIGENT, SO DONT COME WITH I WANT A BABY THING WITH US, THIS IS A NARRATIVE, LET THE NARRATIVE BE AND ENJOY THE TIME  LET IT COME FROM US, AND MOST OF THE TIME WE ARE JOKING JUST TO MAKE YOU COMFORTABLE , NOWADAYS, WE DONT FEAR BEING DUMPED, WE FEAR GETTING PREGNANT, INFACT WE ARE AFRAID HAKI, WE CAN PICK THE NEXT TOM DICK OR HARRY, BUT NONE WILL EVER REPLACE THE BIOLOGICAL PARENT.

Ushauri wa Akothe unajiri wiki moja u baada ya Tanasha Donna kumshtaki mpenzi wake wa zamani msanii Diamond akitaka atoe pesa za kumsaidia mtoto wao