Maisha yangu yalikuwa magumu kufuatia kifo cha mama yangu - Selina

unnamed (5)
unnamed (5)
Muigizaji Celestine Gachuhi almaarufu Selina anasema kuwa maisha yake ya utotoni hayakuwa bora baada ya kifo cha mamake.

Babake alioa mke mwingine ambaye alifanya maisha yake kuwa ngumu.

Alifichua haya katika mtandao wake wa YouTube.

"When I was in class five, my mother passed away and in 2007, my dad got married to my step-mum," alisema.

"When I finished my primary school in Nakuru I was taken to Narok and life was not good and as amazing as it should be for anyone in high school.

Nilisongwa na mawazo kwa sababu ya hali yangu ya maisha na vitu mambo niliyopitia mikononi mwa mama wa kambo.

God’s grace is sufficient and I completed my studies and went upcountry," alisema.

Na alianzaje kuigiza?

"I came to Nairobi to live with my sister in a single room in Kayole. I worked for a travelling theatre that paid sh 3,800 for three months.

That's how it started, I loved being on TV and my role model back then was Julie Gichuru," alikumbuka.

Selina ni mmoja wa waigizaji bora humu nchini na ugizaji wake kama mpenzi wa Pascal Tokodi huwacha wengi vinywa wazi katika Kipindi chao cha Selina.

Katika mahojiano ya moja kwa moja nasi mwaka uliopita katika tamasha za Kalasha, selina alisema kuwa uhusiano wake na Pascal humo nje ni urafiki tu.

Alisema ; “Pascal and I are very good friends. Yes, we are just friends. We both have private lives of the cameras."

Kulingana na utafiti, Kipindi chao cha Selina ni mojawapo ya vipindi vilivyo na mashabiki wengi.