Maisha yetu yapo hatarini- Wasema wabunge wanaoegemea upande wa naibu rais

Baadhi ya wabunge wa muungano wa Tangatanga na ambao wanashabikia upande wa naibu wa rais William Ruto wamesema kuna njama ya serikali kuwaangamiza baadhi yao.

Wakiongozwa na mbunge wa Kimilili Didmus Baraeasa na wa Mugirango kusini Silvanus Osoro wamesema wamepokea jumbe za vitisho ambazo zilikuwa zinatumwa kwa baadhi yao.

Osoro amesema hatua hiyo ya kuunga mkono azma ya Ruto kuwa kiongozi wa taifa mwaka 2022 ndiyo inayochangia kutumiwa jumbe hizo.

 "We are aware of plans to eliminate certain MPs as a retaliation and away to warn to others over their stand. Some MPs have received credible threats on their life the DCI yet nothing was done. An elite squad was recently disbanded by the DCI after its plans to harm political leaders leaked out," alisema Osoro:

Wabunge hao sasa wamasema kuwa uongozi wa Jubilee umeanza kuhitilafiana na baadhi ya maamuzi kutok kwenye mahakama za humu nchini .

"These nefarious scheme shall be undertaken using the now familiar tactics of intimidation, blackmail and extortion of judicial officers and MPs. Threats of recall, threats of life and withdrawal of personal security, targeted harassment of family members are among the many dangerous that the security agencies are using to achieve,"  wamesema wabunge hao.