phil-karanja

‘Mawe yalinigonga kichwani nikaona giza,’ Vile mumewe Cate Actress alikuwa karibu kufa

Philip Karanja ni mumewe muigizaji Catherine Kamau, almaarufu Cate actress na wamebarikiwa na wawili wawili ni mwelekezi na hata mzalishaji wa vipindi kadhaa.

Akizungumzia chanzo cha kovu lake kwenye kichwa chake katika mitandao ya kijamii ya youtube ya rafiki yake Abel Mutua alikuwa na haya ya kusema.

“IN 2007 WHILE STUDYING AT KIMC KENYAN INSTITUTE OF MASS COMMUNICATION, KENYA POLY THEY STARTED THROWING STONES AT OUR HOSTELS AND THEN KIMC STUDENTS GOT ANGRY AND WENT TO THEIR SCHOOL AND IT BECAME A WAR.”

Philip alikuwa kiongozi wa vita hivyo kabla ya kugongwa na mawe kichwani mwake,

“WE WENT TO THEIR TERRITORY AND I WAS DAVID AND THEY WERE GOLIATH. I AM LEFT HANDED AND BEFORE I COULD THROW A STONE, I WAS HIT ON THE HEAD”

I JUST SAW BLACK. TO DATE, ONE SIDE OF MY FACE HAS NEVER BEEN THE SAME LIKE BEFORE.”

I WAS TAKEN TO THE SCHOOL NURSE FOR FIRST AID BEFORE I GOT TO THE HOSPITAL BUT I CAN’T REMEMBER EVERYTHING.” Philip Alieleza

Selina-696x499

Abel Mutua na Philip ni marafiki wa kutoka chuo kikuu hadi sasa hivi ni marafiki, alisema iwapo ana kovu hilo wakati huo alikuwa na utoto na ujinga mwingi.

Wawili hao kwa sasa wana kipindi cha ‘Anda kava’ Maisha magic.

Photo Credits: radiojambo

Read More:

Comments

comments