bramwellandkabogo

Mazungumzo Waziwazi Na Bramwell: Train and arm private guards – Kabogo

 

Mkasa uliotokea hapo hoteli ya Dusit, Riverside Drive ndilo swala mtangazaji Bramwell Mwololo aliangazia akiwa na  mheshimiwa William Kabogo na mtaalam wa maswala ya kiusalama Isaac Andabwa studioni.

Je shambulizi la Dusit mheshimwia alionaje?

Kabogo; ‘Ni maksa ambao tumepata kwasababu sisi wenyewe katika Kenya tunaaamini mambo ya ugaidi ni mambo mabaya na tutapigana nayo ilivyo. Kawanza tushukuru jeshi, polisi na wale wote waliohusika. Lakini ya kustaajabu ni kuwa wakenya nao ni watu very curious kukipatkiana kitu kama hichi, wanakimbia pale na hujui kunaendelea nini unataka kuona na hawajui wakifunga barabara itakuwa ni ngumu ambulance kupita itakuwa ni ngumu polisi kujipanga. Kwa hivyo ni muhimu wakenya wajue wakati kama huu ukifikaa wewe kaa kando kama huhusiki. 

Ripti mbalimbali zasemekana kuwa washukiwa wa ugaidi walikuwa wakaaji wa Kenya, haswa mjini Ruaka, Kiambu.

Kabogo aliwapa mawaidha wakaaji huku akisema,

Wewe ukiwa mkenya unaona mtu hamelewani humjui amekuja ni tu wa aina fulani kwasababu ukiangali hawa watu wote wamepigwa risasi ni watu wa kiimo fulani, ukiona kitu kama hiyo it costs you nothing kuchukuwa simu na kusema kwa polisi kuna mtu hapa tunamshuku akaguliwe akiwa ni mtu mwenye usalama tuishi kwa usalama. kwasababu kam wangeenda kwa vyumba za hawa jamaa wangeweza kupata you know all these greenades masilaha za aina yote na hapo tun geweza kusaidia walioadhirika wasije kapoteza maisha yao. Lakini tunashukuru vilivyo polisi wamejaribu.

Aliongezea kuhus private security huku akisema

‘Regulation is important kwasababu ukiona there are very many guard companies na wengine ata hawana permanent employees, wale watu wakonao ni casuals wanaingia Kibra wanachukuwa mtu wanampa uniform na rungu wanamwambia simamia mahali fulani sas huyo si wakupatia bunduki mpaka regulation ziwe wawe permanent, pensionable watu amao wamescreeniwa na pia regulations such that ata bunduki ni za strong room of a particular company wakati wa kuenda certain places they are designated alafu jioni wakitoka kazini wanafanya shift pia za bunduki. so that at any one time bunduki inajulikana iko na nani because it would be very very risky kupata  mabunduki kila mahali ehh Kayole, Kibra wapi ati umetoka kazini jioni 5 o’clock umeenda na bunduki nyumbani they will be used for hire 

Hili swala la viongozi, hawaangazi sana. Bunduki hizi utasikia zilikuja na bus fulani zilipita kwa roadblock fulani. Je maoni yake?

We must be very careful ourselves it is the duty of every Kenyan to make Kenya a safer place than it was yesterday. Kenya will be good if it’s safe for all of us. Kama leo umesikia hawa jamaa walipiga lunch Limuru road sasa watu wana kaa ni wasomali wanakaa sina shida na wajamii wasomali but you see them na wamebeba mizigo zao zile na hamjawahi waona na wanapiga chapati na karanga pale Limuru Road yu should be able to just pick your phone bwana and say hello OCS hapa kuna majamaa, labda huwa huwenda wakawa ni wajamaa wafiti wazuri lakini kukagua si kawaida kukula hapa na vile wanavyo ni kama wanamipango kusafiri mahali, you know just that information you may save an incidentkama hiyo ya Riverside.

Swala la tamaa ya pesa, na landlords kutuingiza tabaani Gavana anaweza angazia

Kama sasa huyu amkuja Ruaka, you know we must also bring regulation, know your customer, kama wewe unakodesha nyumba we must bring regulation that you must know unakodesha nyumba nani? 

Alitoka wapi ana vidole ama hana? kumaanisha certficate of good conduct, ni mzaliwa wa wapi? lakini tukisema wanaingia airport, hawa watu walikuja kitambo wengine, wengine ni convertees wamerikrutiwa hapa mjini, yu know extremists wamerecruitiwa hapa banana, kwa hivyo ni ngumu sana kujua ni miapka gani walipitia lakini tukiwa alert you know that we are at risk now terrorism is real it is no longer a dream ujuwe tukuwe alert’.

Skiza kanda:

Photo Credits: Instagram/Bramwelll Mwololo

Read More:

Comments

comments