Meneja wa WCB adhibitisha kuwa wao hutumia nguvu za kichawi

Screenshot.from.2019.11.12.16.04.00
Screenshot.from.2019.11.12.16.04.00
Amini usiamini wengi husema kuwa timu ya WCB  hutumia nguvu za uchawi ili kuweza kuhakikisha kuwa jina lao linaendelea kutamba nchini Tanzania na hata pia duniani kote.

Wanamziki wengi wa Tanzania wamehusishwa sana na mambo haya ya uchawi na maneja wa WCB bwana Babu Tele hakusita wala hakukataa kilichodaiwa na mashabiki.

https://www.instagram.com/p/B2RfvAwp4XB/

Shamra shamra za Wasafi zilifanyika hivi juzi na wanamziki wengi miongoni mwao wakiwa WizKid na Tiwa Savage na ni wazi kuwa wanamziki hawa waliimba na kuwaburudisha mashabiki si kidogo.

Sadiki usisadiki Babu Tale alisema kuwa walitumia nguvu za uchawi ili kuhakikisha kuwa siku ile mvua haitanyesha ili kuhakisha kuwa sherehe itakuwa bomba na mvua haikunyesha hata kidogo hiyo siku.

Zaidi ya hayo, Bongo Tale alisema kuwa walianza kutumia msaada wa madakitari wa kienyeji kwani walishindwa kuona msaada wa Mungu.

https://www.instagram.com/p/B14z9r0JpWM/

''We are trying to call witch doctors to stop rain on Saturday. If you see anyone going to witch doctors, they  have really overthought. They have failed to see that their prayers to God will help them''

Babu Tele alipoulizwa kama walitumia usaidizi wa madakitari wa kienyeji alisema,

''It’s normal. I’m African''.

Licha ya hayo, alisema kuwa kinachomfanya Diamond azidi kutamba ni vile ambavyo Diamond anaweza kuhatarisha maisha yake ili biashara yake iendelee kusambaa.

''Diamond is daring. He is a risk-taker. He invests a lot of money in his projects without fear cause there is no business without investment.