Mhubiri msagaji aeleza A-Z sampuli ya wanawake anaowazimikia

Mama mmoja muhubiri kutoka hapa nchini ameteka anga katika mtandao wa Twitter baada ya kukiri tabia za usagaji.

Jacinta Nzilani, 50 anasimulia jinsi anavyotamani jinsi ya kike.

Kanisa ya mama huyu ipo Jiji la Nairobi Odeon Cinema.

Mama huyu alikuwa katika ndoa na ikavurugika.

Maisha ya upweke baada ya kifo cha bwanake miaka 25 nyuma yalipelekea yeye kuzamia usagaji.

Wakwe zake walimwonea hivyo hangeendelea kuishi katika boma hiyo.

Katika mahojiano mama huyu amefunguka kuhusu hali yake,

"Mimi ni mtumishi wa Mungu. Nawapenda waumini na upendo wa Mungu..."

"Ila navutiwa sana na jinsia ya kike..."194730-2

"Mguso wa mwanamke una maana sana kwangu.'

"Ukiukosa umekosa Mungu...'

Muhuri huyu anafanya katika kanisa la CFC Cosmopolitan Affirming Church.

"Kwa mahusiano yangu huwa nataka niwe kama mwanaume."

Katika mahojiano ya awali na kituo cha Jambo, mama huyu alisimulia:

"Mimi ni msagaji, mjane na mwanamke aliyeishi katika ndoa kwa miaka 25..." Alimsimulia Massawe Japanni.

Aidha, mama huyu anasema kuwa presha zilikuwa nyingi aoe.