Millionea katika walio pigwa risasi na polisi kwa kuhatarisha wizi

mfanyakazi industrial
mfanyakazi industrial
Si mwizi tu wala gaidi wala jinai  bali ni millionea aliyeishi katika maisha duni maeneo ya Mukuru kwa Jenga kaunti ya Nairobi.

George Maina ni miongoni mwa wezi saba waliopigwa risasi na polisi Jumatatu walipo kuwa wakiiba katika kampuni moja ya vinywaji (soft drink store).

George, 32, ni jinai ambaye yuko katika vitabu vya polisi si kujulikana na polisi pia yeye ni mwenye nyumba katika maeneo ya Mukuru kwa Jenga anaye julikana kwa sana.

Polisi walisema George alikuwa amejiami na bastola alipokuwa akilinda lango la kampuni hiyo na wenzake wakiiba bidhaa zenye thanani ya mamillioni.

DCI wa Nairobi chifu Ireri Kamwende alisema kuwa Maina alikuwa katika walionaliliwa kuwa jinai na wachunguzi hawakuwa bado waanzisha uchunguzi ili kujua kama Maina ana kesi ya ujinai ambayo inasubiri mahakamani.

Inasemekana kuwa Maina alikuwa na lori ya aina ya Mistubishi canter ambayo wenzake walikuwa wanatumia kuweka bidhaa hizo katika eneo la Industrial.

Ripoti ya polisi kutoka kituo cha polisi cha Industrial inasema kuwa ripoti ziliweza kufikishiwa maafisa waliokuwa kazini usiku huo kuwa kuna wizi katika maeneo hayo ya industrial.

Maafisa hao walipoenda katika kisa hicho waliweza kupatana na mwizi mmoja aliyekuwa na bastola kisha akaanza kufyatulia polisi marisasi.

Ripoti ilisema kuwa polisi walimuua jinai aliyekuwa na bastola kisha wakaenda mahali wizi huo ulikuwa unatekelezwa, ndipo walipo patana na kundi la wezi.

Walikuwa wamejiami na mashoka, bastola ambazi si za ukweli, panga na vifaa vingine vya wizi.

Hata hivyo ripoti haikusema idadi ya silaha butu ambazo wezi hao walikuwa nazo na wala ama waliweza kuwashambulia polisi hao.

Mlinzi aliye ongea akiwa katika hali ya kutojulikana alisema kuwa kundi la polisi watano iliweza kuwasili katika eneo hilo kama walikuwa na ujumbe kuwa kulikuwa na wizi ambao unatekelezwa maeneo hayo 8 usiku.

Walikuwa pia wamevalia sare za raia, waliokaa kama walinda lango na walikuwa na shuka wakiwa wamejiani na bunduki za Ak47na wengine bastola.

"Punde tu wezi hao walianza kuiba, polisi waliwasili mara moja na kuwafyatua marisasi wezi hai," Mlinzi alisema.

Jinai waliojulikana walikuwa Kyalo, Michael na Yohana Karanja katika wezi hao watau hawa kujulikana, wachunguzi waliweza kuchukua alama zao za vidole ili waweze kutambulishwa kirasmi.

Katika chumba cha kuifadhi maiti, wezi hao waliwekwa kuwa hawajulikani, mili yao ilikuwa na alama za risasi kwa mgongo na kwenye kichwa.